
Kichwa mbaya vs Karen Smith by MK

The Editors
Contributor
Published in Qwani 04
-
[Verse 1: kichwa mbaya]
First of fuk your SDGs and the missions you claim.
Nairobi, when we ride, you come equipped with cams You claim to be a saviour, but you lied with my life
We bust on fake charities, we are fucd for life
Plus, my government don't tryna save me, weak systems rip
Kama, Smalls and Junior C.H.O.K.O.S.H ., some real-ass nigggas We keep on comin' while we runnin' for your jewels Steady gunnin', keep some change for us
you know the rules
[Verse 2: karen smith]
Ka ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha ka wewe
Ningekuwa na keja na machiwawa ka wasaba na
Magari na wafanyikazi ka wewe
Lugha ya kujijali tu hali ya kutafuta
Skiza sauti kutoka USA mpaka UN
nawaharibia sifa kwa wadhamini
Huyu kijana anafuatwa na nzi wa towni
Wavue mashati wapige ma-picha kama waoni
Kuwafanya mkae Wenda wazimu na sa skiza hii story vizuri jamaa Hii kazi naifanyia chapaa
Na wazungu wanaopenda kusaidia majamaa
Sa hata ukinichukia siezi kujali ata
Ka wee ni streets stick to the craft
Unafaa kubaki hapo nikutumie for profits na other vaccines Si kutuchukia wadhii juu tunawasaidia kuinua industry wee baki uko huko chini
Kabla watu wako wapewe kazi uku jipe miaka ka themanini na nane lazima nikusaidie ndio ujulikane
Ngo ni culture ya love usisahau
Pole kukuambia sikuchukii nakudharau
-
Photo by Brett Sayles
Join the Conversation
(0 comments)Sign in to join the conversation
Share your thoughts and engage with our community

